Klabu ya Juventus ipo kwenye mazungumzo na mchezaji Aaron Ramsey ili kumshawishi aweze kukubali kuvunja mktaba wake pasipo kuiathiri klabu hiyo kwenye malipo ya kuvunja mkataba.

Tangu asajiriwe na klabu ya Juventus Ramsey amekuwa na wakati mbaya, kutoka na  muda mwingi amekuwa akiuguza majera yake na kila anapopata nafasi amekuwa akicheza chini ya kiwango. Ramsey ameichezea Juve michezo 70 na kufunga magoli sita, pia akisaidia kupatikana kwa magoli sita.

Juventus, Juventus Kumuomba Ramsey Kuvunja Mkataba, Meridianbet

Msimu ulioisha kwenye dirisha la usajiri la mwezi january, klabu ya Juve ilimpeleka kwa mkopo kwenye klabu ya Glasgow Rangers iliyopo nchini Scotland, ambako nako hakuweza kupata nafasi ya kucheza mara mara kwa mara, huku akicheza michezo 13 na kufunga magoli mawili na kutoa pasi za goli mbili.

Juventus wanataka kupunguza kias icha €7milioni ambacho wanamlipa kwa mwaka, na ikiwa atakubali kuvunja mkataba wake yeye mwenye basi Juve hawatalipa kiasi hicho, ispokuwa watalazimika kumlipa wakala wake kiasi cha €2.8milioni kama ada yake kwa mwaka.

Wakala wa Ramsey David Baldwin yupo nchini Italia kufanya mazungumzo na maboss wa klabu ya Juventus ili kufanikisha jambo hilo.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa