Klabu ya Juventus imetoa taarifa ya kifedha nusu mwaka kwenye msimu wa 2021-2022 na kutangaza hasara baada ya mapato ya TV na Radio kushuka huku idadi ya mashabiki wanaopaswa kuingia uwanjani ikidhibitiwa.

Juventus imerekodi hasara ya 119 million euros ndani ya miezi sita kuishia mwezi December 31, ukilinganisha na hasara ya 113.7 million euro kwenye kipindi kama hichi  mwaka uliopita, mapato ya undeshaji yameshuka kwa asiliamia 13.6% na hii ni kutokana na mapato ya haki matangazo kushuka.

Juventus, Juventus Yatangaza Hasara ya Nusu Mwaka Msimu wa 2021/22, Meridianbet

Klabu ya Juventus inatarajia hasara kuongezaka mwisho wa mwaka kifedha, na mwaka jana walishuhudia upungufu wa 209 million euros, kutokana na katazo la watu kuingia uwanjani kutokana na mlipuo wa Uviko-19.

Juventus hivi karibuni ilikuwa chini ya uchunguzi wa polisi, kutokana na mashaka kuwa kuna udanganyifu ulifanyika kwenye taarifa za kifedha, katika kununua na kuuza wachezaji kwenye klabu hiyo.

Pia klabu hiyo inatarajia kuwa na mafanikio mazuri ya kifedha kwenye msimu wa 2022-23, kutokana na vikwazo vingi vya kiafya ambavyo vilisababishwa na Uviko-19 vitafutwa au kuwa na unafuu zaidi.


SHINDA IPHONE 12 NA KASINO YA AVIATOR

Meridianbettz na Aviator wanakupa mchongo wa kuibuka na iPhone 12 katika kasino ya Aviator itakayodumu kwa siku 7. Kuwa rubani wa Aviator na ujishindie!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa