Kumekuwa na mkanganyiko juu ya Adhabu aliyopewa Adrien Rabiot ya kufungiwa mechi baada ya Napoli kushinda rufaa yao ya ushindi wa mezani.
Rabiot alipaswa kuikosa mechi dhidi ya Napoli ambayo ilikuwa ni adhabu ya wiki ya 3 ya mechi, Oktoba 4. Kwa kuwa Juventus walipewa ushindi wa mezani wa bao 3-0 huku Napoli wakipokonywa pointi, Rabiot alihesabiwa tayari alikuwa amemaliza adhabu yake aliyopaswa kuitumikia siku hiyo.
Hata hivyo, baada ya Napoli kukata rufaa na kushinda rufaa yao, na mechi dhidi ya Juventus kutakiwa kurudiwa Rabiot anatakiwa kutumikia adhabu yake.
Kwa mujibu wa Juventus, klabu iliamua kumuacha kwenye mechi dhidi ya Fiorentina ya Jumanne, ikiwa ni siku amabayo hukumu ya rufaa ya Juventus ilitoka. Sababu ya kuachwa ikihusishwa na adhabu aliyopaswa kuitumikia.
Hata hivyo, kwa mujibu wa La Gazzetta dello Sport, wametaja kuwa adhabu hii inapaswa kutumikiwa na nyota huyo kuanzia siku inayofuata ya hukumu kutolewa. Hii ikimaanisha kuwa bado Rabiot atapaswa kuikosa mechi inayofuata dhidi ya Udinese mwezi Januari.
Kama suala hili litapewa uzito kwa upande huu, basi ataikosa pia mechi ijayo Januari.
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???
Lydia Emmanuel Magoti
Duu sio poa
Adelta
Wakae chini waongoee ili waendelee na maisha mengine
warda
wamemfungia mechi nyingi jamani
Shakila mrope
Ata cha kuchangia sijui mhh
Rahmal
Mmhh kwa nini imekuwa ivyo
Ernest Kimeru
Hii ni habari mbaya kwa Juventus
Saupha mohamed
Mhhh kazi iyoo
Issa
Waangalie upya adhabu
Hopemwaikuka
Cjaipenda hii
Sarah
Wawatafuti adhabu nyingine jamani