Napoli: Insigne Ndani ya Kikosi cha Ligi Europa?

Klabu ya Napoli wamethibitisha kuwa nyota wao Lolenzo Insigne amekuwepo mazoezini na kikosi cha Gennaro Gattuso wakati wakijandaa kuvaana na AZ Akmaar.

Napoli wameingia mazoezini kujiandaa na mechi yao ya Europa baada ya ushindi wa 4-1 dhidi ya Atalanta.

Bila shaka kwa mujibu wa ripoti hizi nyota huyu yuko fiti kuungana na kikosi cha Gattuso kutoka mechi yao ya Europa Wiki hii.

Insigne alipata jeraha kwenye mechi dhidi ya Genoa mwezi September, mechi ambayo Napoli walishinda kwa bao 6-0.

Lorenzo Insigne
Lorenzo Insigne alipata jeraha mwezi Septemba.

Kulikuwa na wasi wasi juu ya mda ambao nahodha huyu angeutumia kuuguza jeraha lake na kisha kurejea uwanjani. Lakini sasa anaripotiwa kuwa fiti akitoka kuuguza jeraha na anatarajiwa kuwa ataongeza kasi ya Kikosi.


 

Ondoka na Mkwanja Kwenye Tsh. 160,000,000

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu.

Soma Zaidi

27 Komentara

    Habar njema kwa mashabik wa Napoli Kama hatakuwep nahodha wao katika mchezo Europa leage

    Jibu

    Duuh napoli

    Jibu

    Napolitan ilikua inakosa mtu muhim sehem ya kiungo mshambuliaj

    Jibu

    Habari njema kwa napoli wamepata mtu muhimu

    Jibu

    Ni habari nzur hii kuisikia

    Jibu

    Duuuh

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Hapo mashabiki wa Napoli roho kwatu

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Taarifa njema

    Jibu

    Good

    Jibu

    lolenzo yuko vizuri sana na ana kiwango kizuri katika mpira

    Jibu

    Goodnews

    Jibu

    Hii mechi si ya kukosa

    Jibu

    Niabari nzuri hii

    Jibu

    Ila Napoli wapo poa sana

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Moja ya mshambuliaj hatar napoli

    Jibu

    Napol wamepata kifaa imara

    Jibu

    Napoli inakikosi kizuri kinachojitosheleza

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Napoli wapo vizuri wamesajiri wachezaji wengi sana wenye uwezo

    Jibu

    Hbr njm

    Jibu

    Habari njema Sana

    Jibu

    Mashabiki wa Napoli wamefurahi sana

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Insigne ni mchezaji hatari sana ni jambo zuri kama amerejea dimbani kuisaidia timu yake

    Jibu

Acha ujumbe