Nicolò Zaniolo: Nahesabu Siku Kurudi Dimbani

Nyota wa Roma, Nicolò Zaniolo anasema kuwa anahesabu siku tu ili aweze kurejea dimbani. Zaniolo alikuwa na jeraha la goti lililomlazimu awepo nje ya uwanja.

Zaniolo anasema licha ya kusumbuliwa na jeraha baya la goti, hakuwahi kufikiria kuwa huu ndiyo uwe mwisho wa wakati wake katika soka.

Staa huyu alipata jeraha baya la goti kwen ye mechi ya kimataifa ya Italia, walivyocheza dhidi ya Holland kwenye Ligi ya Mataifa ya UEFA, ambayo Italia walishinda kwa 1-0.

Nicolò Zaniolo
Zaniolo alipata jeraha la goti kwa mara ya pili

Zaniolo anasema awali baada ya kupata jeraha hilo hakutaka kufirikia kitu chochote. Lakini, baadaye aliamua kupiga moyo konde na kusema lazima arejee dimbani, hawezi kukubali kushindwa.

“Nilishatambua kuwa kila kitu kitakuwa kigumu, lakini nahitaji kufikiria kama hii ni sehemu ya uzoefu unaonibadilisha.”

“Sikuwahi kufikiria kuhusu kushindwa, hata baada ya kujua kuwa imetokea tena, ninajilazimisha, hata kama kuna wakati nashindwa kujirejesha mchezoni. Tunaweza kusema ninamaliza magoti yangu, nimekuwa na bahati mbaya” -Nicolo Zaniolo

 


SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

37 Komentara

    Hakuna kukata tamaa

    Jibu

    Safi kwa kujiamin inaleta hamasa mchezoni

    Jibu

    Mungu amsaidie apone mapema

    Jibu

    Majeraha yanawarudisha wachezaji nyuma#Meridianbettz

    Jibu

    Daah bora urudi dimbani.

    Jibu

    Nicolo Zaniolo na maneno ya kishujaa. Majeraha yamekuwa kikwazo kwa mafanikio ya wachezaji wengi hata wengine kulazimika kustaafu#meridianbettz

    Jibu

    Karibu tena dimbani zaniolo

    Jibu

    karibu tena uwanjani#meridianbettz

    Jibu

    Arudi dimbani tu

    Jibu

    Mungu Amjalie apone mapema

    Jibu

    Rudi tu

    Jibu

    Mung atamsaidia alud kweny pitch

    Jibu

    Kila kitu ni kujiamini ili ushindi upatikane

    Jibu

    Mungu azidi kukupa nguv

    Jibu

    Mungu awasaidie wapone

    Jibu

    Habari njema kwa zaniolo kurudi dimbani wachezaji wengi wanakwama kwa sababu ya majeraha ya mara kwa mara

    Jibu

    Safi kwa kujiamin inaleta amasa mchezoni#Meridianbettz

    Jibu

    Usikate tamaa

    Jibu

    Tunakukaribisha kwa moyo wote karibu tena dimbani

    Jibu

    Karibu sana dimbani@meridianbettz

    Jibu

    Karibu

    Jibu

    Niabari nzuli Zaniolo kuludi dimbani

    Jibu

    Usikubali kushindwa

    Jibu

    Bora urudi

    Jibu

    Get well soon

    Jibu

    Hakika namkumbuka namna anavyocheza Mungu amjalie apone na arudi uwanjani

    Jibu

    Bora uludi dimbani mashabiki tulikumic sana

    Jibu

    itakuwa vizuri sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Itakua poa Sana.

    Jibu

    rudi

    Jibu

    Itapendeza zaid

    Jibu

    Worry out , soon utarejea dimbani.

    Jibu

    Mungu ni mwemaa!!!

    Jibu

    Majeraha yamekuwa kikwazo kwa mafanikio ya wachezaji wengi hata wengine kulazimika

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Nicolo Zaniolo na maneno ya kishujaa. Majeraha yamekuwa kikwazo kwa mafanikio ya wachezaji wengi hata wengine kulazimika kustaafu

    Jibu

Acha ujumbe