Nyota wa Barcelona Luis Suarez mbioni kutimkia kwa mabingwa wa Italia – Juventus.
Suareza anatarajia kutemana na Barcelona na kuondoka kama mchezaji huru ikiwa atafanikiwa kufanya makubaliano na Barcelona ili kusiwepo na ada yeyote ya uhamisho.
Nyota huyu bado ana mkataba wa mwaka mmoja na klabu ya Barcelona. Alisaini mkataba na Barcelona mwaka 2016, ambao ulikuwa na makubaliano kuwa staa huyu angeongezewa mda wa kusalia klabuni hapo ikiwa angecheza 60% ya mechi klabuni hapo.
Hata hivyo, taarifa zinasema nyota huyu yupo tayari kuondoka, na ataridhika ikiwa atalipwa mshahara wake wa nusu msimu, katika makubaliano ya kusitisha mkataba wake.
Suarez na rafiki yake Messi, wapo katika hatua za mazungumzo kuweka sawa suala alao la uhamisho. Lakini, maamuzi ya Messi kuondoka au kusalia Barcelona yanatajwa kutokuwa na athari yeyote kwa hatma ya staa huyu.
Suarez alijiunga na Barcelona akitokea Liverpool. Ilikuwa ni mwaka 2014 alipoingia klabuni hapo, amefunga jumla ya magoli 198 katika mechi 283 alizocheza Barca.
Kwa mujibu wa vyanzo vya habari vya Italia Luis Suarez anahitaji kufaulu vigezo vya uraia wa Italia ili kuweza kukamilisha mpango huo wa kuichezea Serie A.
SHINDA NA HI LO
Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.
Issa
Utam juve kuwasil
Sauda
Hongera Juve kwa kupata jembe
Fatina mfigi
Karibu juve !!
Povel
Kila la kheri Kama deal hlo litakuwah Done
Adelta
Luis suarez asubiri kwanza wafanye mazungumzo na klabu ya Barcelona ndiyo apewe ruksa ya kwenda juve
magdalena
juve kama wamemchukua suarez wamepata kiungo mzuri sana
Ernest
Uamuzi sahihi sana kwa Suarez na msimu ujao Juve Bingwa Uefa
Dorophina
Juve wajitahidi waondoke na Suarez jamaa yupo fiti sana atawafaa wana juve
Janeflora malisa
Uwamuz mzr san
Latifa juma mohamed
Kila la kheri Kama deal hlo litakuwah Done
felister
juve msimu unaokuja watakua moto wa kuotea mbali
Zeiyana
Itakua vizuri kama Suarez hataondoka Barcelona pale kuchakua na doa tena ukiangalia Suarez bado yupo vizuri tu hanaitaji nafsi nzuri tu yakuonesha kipaji chake
Tatu
Suarez naona ameshachoka kukaa Barcelona bora atimkie club zingine huko akabadili upepo
Caroline
Karibu Juventus
Sadick
Luis Suarez ni mchezaji mzuri bado ana nafasi ya kuendelea kufanya vzr pamoja na umri wake wa miaka 33#meridianbettz
Mwajumah
Juve mmefanya jambo jema sana kumchukua jembe ilo#Meridianbettz
Nasra
Safii sana juve
Shani
Ujakosea!!
Mwanahamisi
Safi sana juve
Lydia Emmanuel Magoti
Juve wa mempata kiungo mzuri Sana mpambanaji anaejituma mzee wakaz
lombo
habar njema
Flomena
Hata hivyo, taarifa zinasema nyota huyu yupo tayari kuondoka, na ataridhika ikiwa atalipwa mshahara wake wa nusu msimu, katika makubaliano ya kusitisha mkataba wake.
Saupha mohamed
Safi sana juve
farida ahmadi
Suarez ndani ya Juventus Mambo ni Moto
Amiri Kayera
Akachez na mess dah
aisha
Msimu ujao juve itapata ubingwa maana sio powa
Latifa juma mohamed
Kila la kheri Kama deal hlo litakuwah Done
Hope mwaikuka
Ng’ata ng’ata huyo haya kapambane
Devotha
Safi sana
Genia Sikaluzwe
Saf Sana
David Pere
Uamuzi sahihi sana kwa Suarez na msimu ujao Juve Bingwa Uefa
Isaya massawe
Panamfaa kabisaaaa
Khadija
Uamuzi sahihi kwa suarez#meridianbettz
Gabriel
juve kama wamemchukua suarez wamepata kiungo mzuri sana
Rehema
Safi sana
Sabrina
Deal ikitimia juve watakua vizur
Ester jackson
Safii sana unaenda kukutana na jeshi cr7
warda
Bora Luis aende tu Juve
Tahiya
Daah Juventus itakuwa ya moto balaa
Samiah
Safi sanaaa