Zlatan na Lukaku, Mechi 1 Nje!

Baada ya kugombana uwanjani katika mchezo wa Coppa Italia, Mshambuliaji wa AC Milan, Zlatan Ibrahimovic na mshambuliaji wa Inter Milan, Romelu Lukaku – wamefungiwa mchezo mmoja.

Ibrahimovic amefungiwa mchezo mmoja baada ya kupatiwa kadi 2 za njano katika mchezo mmoja. Lukaku amefungiwa kwa sababu kadi ya njano aliyoipata kwenye mchezo huo, ilikuwa ni kadi yake ya 2 kwenye mashindano hayo msimu huu.

Ibrahimovic alikanusha kuwa alitumia maneno ya kibaguzi kwenye tukio lile, licha ya kwamba anafanyiwa uchunguzi katika kile kilichotokea.

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, Ibrahimovic aliweka chapisho ililosomeka “kwenye dunia ya Zlatan, hakuna nafasi ya ubaguzi.”


MSHINDANI HUSHINDA BWANA!

Anayejaribu hawezi kutoka kapa Meridianbet! Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakuhakikishia ushindi mkubwa kila unapojaribu kuingia mchezoni. Washindi hushindana, ingia mchezoni!

Fairy-in-Wonderland_Casino-Post_25-January

CHEZA SASA

14 Komentara

    Vizuri na iwe fundisho kwa wachezaji wengine

    Jibu

    Wamefanya vyema kuwapa adhabu ili wengine wajifunze kupitia wao

    Jibu

    Safi sanaa

    Jibu

    Duu sio poa nifundisho kwa wengine nizamu itendeke

    Jibu

    Wamefanya vyema ili iwe fundisho

    Jibu

    Itakuwa fundisho kwa wengine

    Jibu

    Dhaaa movic amekuwa mtu wa majanga tu kila siku

    Jibu

    Wakajifunze nidhamu

    Jibu

    Nidhamu mhm

    Jibu

    Pole yao

    Jibu

    Nidhamu kitu muhimu

    Jibu

    Pole yao

    Jibu

    Vizuri wajifunze kwa wengine

    Jibu

    pole yao

    Jibu

Acha ujumbe