Zlatan Yupo Tayari Kuwavaa Inter Milan

Mshambuliaji wa AC Milan – Zlatan Ibrahimovic amerejea tena uwanjani na sasa yupo tayari kuwavaa Inter katika mchezo wa Ligi Kuu Italia – Serie A.

Zlatan alikuwa nje ya uwanja baada ya kugundulika anamaambukizi ya virusi vya COVID19 na hajacheza tangu mwezi Septemba. Sasa anarejea tena uwanjani akiwa na afya njema. Kama bahati, anakutana na mchezo wa watani wa jadi – AC Milan vs Inter Milan jumamosi hii.

Japokuwa hajacheza kwa muda, mshambuliaji wa zamani wa Inter – Vieri, anaamini Zlatan anakiwango cha hali ya juu na atadhihirisha kwenye mchezo huo.

“Uzoefu wake sio kitu cha kutia shaka, anakila kitu. Ufundi wake, namna anavyoutazama mchezo, kufunga na kutoa pasi za magoli na kuifanya timu yake kucheza vizuri ni vitu vikubwa.

“Mtu aliyesema virusi vya corona sio kitu sahihi cha kumpa changamoto, ananguvu kubwa kiakili kuliko mtu yeyote. Anaweza kucheza huo mchezo akiwa na sigara mdomoni, niamini” alisema Vieri wakati akifanya mazungumzo na La Gazzetta dello Sport

Nani ataunza msimu mpya wa Serie A na ushindi dhidi ya mpinzani wake? Ni Zlatan au Lukaku? Hakika hii sio ya kukosa!!!


Unapenda kuwa shujaa?

Naam, hapa ni mahali pako! Kuwa shujaa kwenye sloti hii ya Samurai Ken ujishindie mkwanja na kujipa burudani murua. 

Cheza sasa 

Samurai Ken Online Casino

24 Komentara

    Uzoefu wake sio kitu cha kutia shaka, anakila kitu. Ufundi wake, namna anavyoutazama mchezo, kufunga na kutoa pasi za magoli na kuifanya timu yake kucheza vizuri ni vitu vikubwa.

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    ni kweli ibrahimovic ni mkongwe katika soka korona haiwezi kumfanya hashuke kiwango chake katika

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Sawa tunasubiri

    Jibu

    Muhenga mwenye kiwango chake

    Jibu

    Afadhali amepona, tulimiss mbwembwe zake.

    Jibu

    Pole Sana Ibrahimovic.karibu uwanjani

    Jibu

    ibrahimovic yuko makini sana na katika soka ingawa umri unamtupa mkono

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Zaltan ni mchezaji mahiri sana ambaye ukimpa nafasi hafanyi kosa

    Jibu

    Vizuri Sana Zaltan anaoneka yupo fiti ataupiga mpila

    Jibu

    Napenda kumuita Zlatan Mzee Baba, Huyu jamaa huwezi kumtofautisha na vijana wadogo kwenye Soka

    Jibu

    afadhali amepona

    Jibu

    Zaltani ni mchezaji mzuri sana naona amelejea kwa nguvu zote

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa Ac milan maana ni kiungo mzuri sana

    Jibu

    Milan deby hapakalik

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Milan derby mambo ni moto

    Jibu

    Inapendeza

    Jibu

    Tutaona ufundi mwing milan derby

    Jibu

    Safi sana hapo

    Jibu

Acha ujumbe