Makala mpya

HIKI NDIYO KIMEMUONDOA C.E.O TABORA UNITED
SOKA LA BONGO

Jana Alhamisi, Klabu ya Tabora United ilitoa taarifa ya kuacha na Afisa Mtendaji wake Thabity Kandoro Baada ya makubaliano ya pande zote mbili. Awali, kabla ya kutoka Kwa taarifa hiyo …

Soma zaidi
YANGA KUOGA MAMILIONI WAKIWAFUNGA MAMELODY
SOKA LA BONGO

Uongozi wa Klabu ya Yanga umetenga kiasi cha zaidi ya milioni 500 Kwa wachezaji wa timu hiyo kama watashinda mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelody Sundowns. …

Soma zaidi
SIMBA WAWAFANYIA UMAFIA AL AHLY
SOKA LA BONGO

Uongozi wa Klabu ya Simba umeamua kuwafanyia umafia Wapinzani wao Al Ahly Baada ya kutuma makachelo Misri kuweka mipango kuelekea mchezo wao wa marudiano Baada ya huu wa leo Kwa …

Soma zaidi
Calabria: “Leao Anahitaji Kufanya Hivi Ili Ashinde Ballon d’Or Akiwa Milan”
Serie A

Davide Calabria alipendekeza kuwa mchezaji mwenzake wa Milan Rafael Leao anahitaji kitu kimoja hasa kutoka kwa Kylian Mbappe ili kumsaidia kushinda Ballon d’Or siku moja. Winga huyo wa Ureno mwenye …

Soma zaidi
Cadiz CF Kukiwasha Dhidi ya Granada Hii Leo
La Liga

Ligi kuu ya Hispania, LALIGA inatarajiwa kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja baada ya mapumziko ya Kimataifa ambapo, Cadiz atakuwa mwenyeji wa Granada majira ya saa 5:00 usiku. Cadiz yupo …

Soma zaidi
Juventus Kuchuana na Milan Kumuwania Mchezaji wa Wolfsburg
Daily News

Ripoti kutoka Ufaransa zinasema kuwa Juventus wanataka kuchuana na Milan kumnunua beki wa VfL Wolfsburg Maxence Lacroix. Beki huyo wa kati wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 23 amebakiwa na …

Soma zaidi
GAMONDI ATOA NA NENO LA MATUMAINI YANGA
SOKA LA BONGO

KOCHA Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema kuwa, najua ana mchezo ngumu dhidi ya Mamelodi, lakini anajivunia uzoefu wake wa kucheza mechi ngumu na Muhimu. Gamondi amesema, anajua siyo kazi …

Soma zaidi
BOSI LIGI KUU ATOA TAMKO
SOKA LA BONGO

Bosi na Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Almas Kasongo amesema kwenye nyakati hizi za Ligi kwenda ukingoni watakuwa makini kufuatilia matukio yote ya Michezo. Kasongo amesema …

Soma zaidi
BENCHIKHA ANATAKA REKODI YA KUKUMBUKWA SIMBA
SOKA LA BONGO

KOCHA wa Simba, raia wa Algeria Abdelhack Benchikha amesema kuwa kwenye moyo na akili yake Kuna kitu kimoja kinachoitwa Simba kwenda nusu fainali ikiwa kwenye mikono yake. Benchikha amefunguka kuwa, …

Soma zaidi
Pochettino Amsikitikia Lavia
Daily News

Kocha wa klabu ya Chelsea Mauricio Pochettino ameonesha kusikitishwa na majeraha ambayo ameyapata mchezaji wake raia wa kimataifa wa Ubelgiji Romeo Lavia. Pochettino wakati akiongea na wanahabari leo amesema “Ni …

Soma zaidi
1 2 3 4 2,028 2,029 2,030