Klabu ya Sevilla wanataka dau la karibu milioni 80 (£ 68m / $ 95m) ikiwa makubaliano yatafikiwa na Chelsea ambayo inamruhusu mchezaji wao Jules Kounde kuondoka Estadio Ramon Sanchez Pizjuan.

 

sevilla, Sevilla Wanataka €80 million kwa Kounde., Meridianbet

Ripoti kutoka jarida la Goal lilithibitisha Jumanne kuwa klabu ya Chelsea imeingia katika mazungumzo na beki huyo wa kimataifa wa Ufaransa na klabu ya Sevilla.

Kounde yuko wazi kwa wazo la kutafuta changamoto mpya katika ligi kuu ya England, lakini uhamisho utaruhusiwa endapo klabu hizo mbili zitakubaliana katika biashara hiyo.

Klabu kadhaa zilikuwa zinafwatilia mwenendo wa mchezaji huyo msimu huu wa joto ikiwemo Real Madrid, Manchester United na Chelsea lakini mpaka sasa bado hakuna timu iliyoweza kuwashawishi Sevilla kumuachia.

Klabu ya Manchester United wamejitoa kinyang’anyiro hicho baada ya kukamilisha usajili wa Rafael Varane kutoka Real Madrid, Huku Los Blancos wakikosa fedha ya kufanya usajili mkubwa katika dirisha hili.


KUWA SHUJAA KATIKA KASINO ZA MERIDIANBET!

SHOOT! mchezo unaokupa nafasi ya kupambania ushindi wako mkubwa kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Usisubiri hii, jiunge sasa kufurahia ushindi!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa