Luke Shaw amekiri kwamba alikuwa haoneshi kiwango cha kutosha kwa Gareth Southgate na timu ya taifa England na kwasasa amekuja kuelewa uzito wa kuiwakilisha nchi yake.

Shaw Ajutia Kutoiwakilisha Vyema England Zamani

Beki huyo wa kushoto amesema alikuwa akionesha hali ambayo haikuwa sahihi na alikuwa akiondoka mara kwa mara katika kambi hali iliyopekea kuachwa nje ya kikosi cha The Three Lions kwa muda wa miaka miwili

Baada ya kuwa na umakini na kuimarika katika klabu yake ya Manchester United Shaw ameitwa tena kwenye kikosi cha mwezi huu kwenye michezo ya kufuzu Kombe la Dunia na hataki kuichezea tena nafasi yake ya pili ndani ya timu ya taifa.

“Nina majuto kadhaa na siwezi acha kuwaza kutokana na makosa niliyofanya huko nyuma hasa na timu ya taifa ya England,” Shaw aliwaambia maripota. ” Nilitoroka sana kambini.

“Kwa kipindi hicho labda siku katika ubora lakini nadhani miaka miwili iliyopita nimekuwa nikifikiria sana – hayo ndiyo majuto yangu.

Yeah, ni kweli nilimuangusha Gareth Southagte sasa najaribu kumzingatia na kumuonesha kwamba vitu vimebadilika .

England watamaliza mapumziko ya michezo ya kimataifa siku ya Jumatano watakapo kabiliana na Poland katika mechi ya kutafuta tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia.


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

Shaw, Shaw Ajutia Kutoiwakilisha Vyema England Zamani, Meridianbet

CHEZA HAPA

5 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa