Nyumbani Shirikisho AZAM

Shirikisho AZAM

Biashara yaiondoa Namungo

Biashara United Yatinga Nusu Fainali Shirikisho

2
Timu ya Biashara United yenye maskani yake huko Shinyanga imekuwa ya kwanza kutinga nusu fainali ya kombe la Azam Sports Federation baada ya kuifunga timu ya Namungo ya huko kusini bao 2-0. Magoli ya Mpapi Nasibu na Kelvin Friday yalitosha...
Prince Dube

Dube Ana Nafasi Kubwa ya Kufika Rekodi za Tchetche

1
Mshambuliaji Prince Dube, anakuwa mchezaji wa kwanza wa Azam FC kufunga mabao 13 kwenye Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), baada ya staa wa zamani, Kipre Tchetche Tchetche ndiye aliyekuwa mchezaji wa mwisho wa Azam FC kufunga jumla ya mabao 13...
Mechi za robo fainali asfc

Mechi Za Robo Fainali Ya ASFC 2021 Zajulikana

8
Droo ya Robo fainali ya kombe la shirikisho la Azam Sports Federation Cup yafanyika leo na timu kubwa zapangiwa timu ndogo ndogo. Michuano hii ya kombe la shirikisho la Azam limekuwa likitoa vipaji sana huku mshindi wa fainali hii akiwakilisha...

MOST COMMENTED

Zoran Manojlovic Out, Hamada Sedki In Al Hilal

12
Siku moja baada ya Al Hilal Oumdumarn kumtimua kazi aliyekuwa Kocha wao Zoran Manojlovic kutokana na matokeo mabovu. Leo klabu hiyo Imemtangaza Kocha kutoka...

HOT NEWS