Klabu ya Yanga SC imefanikiwa kutinga Fainali ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) 2021/22 baada ya kuifunga Simba goli 1-0 katika mchezo wa Nusu Fainali kwenye Uwanja wa CCM Kirumba.

Goli la shuti kali kutoka nje ya eneo la boksi la 18 kutoka kwa Fei Toto katika dakika ya 25 limeipa Yanga ushindi huo na hivyo kuivua Simba ubingwa wa michuano hiyo.

 

yanga sc, Yanga SC Yaishangaza Simba SC Kirumba., Meridianbet

Timu zote zilishambulia kwa zamu huku Yanga SC wakitawala zaidi dakika 45 za kipindi cha kwanza wakati Simba SC wakitawala dakika 45 za kipindi cha pili, lakini wana jangani ndio waliweza kutumia nafasi na kuibuka kidedea.

Kwa matokeo hayo Yanga SC inasubiri mshindi wa nusu fainali nyingine kati ya Azam FC dhidi ya Coastal Union ilikujua timu watayokutana nayo katika fainali.


SHINDA SAMSUNG A32 NA AVIATOR

SHINDA Samsung A32 ukiwa na mchezo wa Aviator kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! Kwea pipa ukusanye zawadi zako pamoja na ushindi mnono wa mkwanja!

kasa wa njano, Kasa wa Njano Awapa Ubingwa wa CL Liverpool., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa