Kiungo Wa Simba SC, Clatous Chama amekabidhiwa tuzo na sh 1 Milioni na kampuni ya Emirate Aluminium profile baada ya kuibuka mchezaji bora Wa mashabiki Wa mwezi April.

 

simba, Simba :Chama Mchezaji Bora Mwezi April., Meridianbet

“Nawashukuru sana mashabiki kwa kutambua mchango wangu na kunipigia kura nyingi kuwa mchezaji bora Wa mwezi.

“Tuzo hii naipeleka kwa wachezaji wenzangu ambao tumekuwa tukishirikiana uwanjani kwa ajili ya mafanikio ya timu na itakuwa chachu ya mimi kuendelea kujituma zaidi ,” amesema Chama.

Mchezaji huyo amepokea pesa taslimu Tsh Milioni moja pamoja na tuzo katika uwanja wa bunju walikokua katika mazoezi ya kujiandaa na mechi ya jumamosi dhidi ya Young Africa.

 


TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO

Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!

simba, Simba :Chama Mchezaji Bora Mwezi April., Meridianbet

SOMA ZAIDI

13 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa