Mfungaji wa bao la tatu katika mchezo wa jana, Clatous Chama amesema licha ya kuondolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika anajivunia timu yake ya Simba kwa mapambano iliyofikia.

chama

Amesisitiza kuwa hawatakata tamaa katika michuano hiyo hadi wafanikiwe kupata kile wanachokihitaji hivyo wanajipanga kwa ajili ya msimu ujao.

“Safari yetu ya Ligi ya Mabingwa imeisha, najivunia timu yangu kwa sababu kila mchezaji ameonyesha kiwango cha hali ya juu lakini haikutosha.

chama, Najivunia Kuwa Simba – Chama, Meridianbet

“Hatutaacha mpaka pale tutakapofanikiwa, tuonane kipindi kijacho nawatakia kila la kheri Kaizer Chiefs katika hatua yao ya Nusu Fainali.” alisema Chama.

UNAWEZA KUWA MILIONEA WAKATI WOWOTE!

Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu 🤑.

kane, Kane Aweka Wazi Maazimio Yake Kucheza UEFA., MeridianbetBASHIRI SASA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa