Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Salim Abdallah ‘Try Again’ anaelezea namna mchakato umekwama kwa muda katika Tume ya Ushindani wa Biashara (FCC).

 

simba, Simba : FCC Ilikwamisha Mambo Mengi, Tuko Pazuri., Meridianbet

“Tumekuwa tukifanya mazungumzo ya mara kwa mara na FCC, na lengo tufanye kila kitu kwa sheria na taratibu, na ndio maana kila kitu ambacho wanahitaji tufanye huwa tunafanya na mambo yanaenda sawa.

“Mpaka sasa kila kitu kipo sawa na hata Jumatatu (iliyopita), Mtendaji Mkuu (Barbara Gonzalez) na mjumbe mwingine wa bodi (Upande wa Simba SC) walikutana na watu wa FCC na kufanya kikao.

“Kila kitu kimeenda sawa mambo yataanza kwenda vizuri maana hii ishu inafanya uwekezaji unachelewa sana, ila hatua tuliyofikia ni nzuri,” anasema na kuishukuru Serikali kwa hatua zote walizopitia.

“Kusema kweli haya mambo ya FCC yamekwamisha vitu vingi kutofanyika ndani ya Simba SC, hatupendi kuona Wanasimba wanaulizauliza sana juu ya uwekezaji, lakini nawaomba waelewe kwamba Mo Dewji hana shida, kila kitu kikikamilika atafanya makubaliano.”


KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

Mini Power Roullete

CHEZA HAPA

10 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa