Clatous Chota Chama Mwamba wa Lusaka, ni hatari sana, Ilikuwa ni mwaka 2017 kwenye ardhi ya Tanzania ilishuhudia kiumbe cha ajabu kwenye soka kuwahi kutokea kucheza Ligi ya Tanzania. …
Makala nyingine
Baada ya Kutambulishwa kwa Kocha wa Makipa Zakaria Chlouha Mmorocco ambaye atawanoa makipa wa klabu ya Simba SC, Aish Manula, Beno Kakolanya, Ally Salim, na Ahmed Telu , ambao awali …
Uongozi wa Klabu ya Simba umesema kuwa hawatakuwa na kocha Suleiman Matola kwa muda wa mwaka mmoja kwa kuwa anakwenda kusoma na baada ya kumaliza masomo yake ndipo viongozi watajua …
UONGOZI wa Simba SC leo nataka kusema nanyi jambo moja ambalo huenda hata mashabiki wa timu yenu huenda wanawaza watasema wapi ili sauti zao zisikike na kero iwafikie wahusika. Kwakuwa …
KLABU ya Simba SC katika kujiimarisha kwenye safu yao ya Ushambuliaji, Taarifa za chini ya buswati zinasema kwamba wanafuatilia mwenendo wa straika anayekipiga kwenye timu ya Najran ya nchini Saudi …
Yakiwa yamesalia masaa machache kabla ya mchezo wa Simba na Ihefu pale kwa Mkapa Dar, uongozi wa klabu ya Simba umefunguka kuwa timu hiyo haitafungwa tena msimu huu. Meneja wa …
Simba na Yanga ambao ni wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa barani Afrika, leo watashuka dimbani kupambania heshima ya soka kwa taifa la Tanzania, mmoja akiwa Tunisia na mwingine …
NAHODHA wa Simba SC Mohammed Hussein amesema kuwa timu hiyo inahitajji kutafuta alama tatu muhimu kwenye mchezo wao wa kesho dhidi ya Singida BS, ambao watakuwa ugenini kwenye Uwanja wa …
TIMU ya Wanawake Simba Queens imewasili salama mjini Rabat kuvaana na Mamelod Sundowns Queens wakitokea mji wa Marrekech, walipokuwa kwenye mechi yao ya mwisho iliyopatia tiketi ya kucheza nusu fainali …
MWEKEZAJI na Rais wa Heshima wa klabu ya Simba SC Mohammed Dewji ‘MO’ ametumia mtandao wake wa kijamii kutuma pongezi kwa timu ya wanawake ya Simba Queens kufuzu hatua ya …
Mabingwa wa CECAFA na wawakilishi wa Ukanda huo kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa kwa wanawake barani Afrika, Simba Queens watakutana na timu ya wanawake ya Mamelod Sundowns Queens ya …
Simba SC: Baada ya ushindi mkubwa kwa mara kwanza msimu huu wa mabao 5-0 dhidi ya Mtibwa Sugar ya mkoani Morogoro, sasa watarejea uwanjani kucheza na timu yenye Wabrazil wengi, …
Viongozi wa klabu ya Simba SC kwa kushirikiana na Kamati ya Maendeleo ya Bunju (Mo Simba Arena) leo wametembelea uwanja huo kuangalia maendeleo ya ujenzi wa ukuta kuzunguka eneo hilo. …
Wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kwa upande wa wanawake Simba Queens leo watashuka dimba la Grand Stade De Marrakech kwaajili ya mchezo wao wa mwisho hatua ya …
Kikosi cha Simba Queens kimesafiri asubuhi ya leo kuelekea mjini Marrakech kwaajili ya mchezo wao wa mwisho hatua ya makundi dhidi ya Green Buffaloes ya Zambia. Mchezo huo utapigwa kesho …
Simba Queens jana walipata ushindi wao wa kwanza kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, mashindano yanayoendelea nchini Morocco. Simba walishinda mchezo huo kwa mabao 2-0. Opah Clement akiweka rekodi ya kufunga …
Simba: Baada ya Kupoteza Mchezo wao wa kwanza kwa bao 1-0 wa hatua ya Makundi ya Ligi ya mabingwa ya wanawake, dhidi ya AS FAR ambao ni wenyeji wa mashindano …