Simba SC Wajipanga Kuendeleza Ubabe Mbele ya JKT Tanzania Ligi Kuu ya NBC

Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC unatarajiwa kupigwa kesho Jumatano, Mei 6, ambapo Simba SC watakuwa wenyeji wa JKT Tanzania katika pambano linalosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka nchini.

Simba SC Wajipanga Kuendeleza Ubabe Mbele ya JKT Tanzania Ligi Kuu ya NBC Akizungumza kuelekea mchezo huo, Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Backer, amesema kikosi chake kimejiandaa vizuri kwa ajili ya kuwakabili wapinzani wao huku akisisitiza kuwa wanawaheshimu JKT Tanzania. Ameweka wazi kuwa lengo lao kubwa ni kuendeleza ushindi katika michezo iliyosalia ili kuhakikisha hawapotezi alama muhimu kwenye mbio za ubingwa.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Backer ameongeza kuwa hali ya kikosi chake ni nzuri na hakuna changamoto yoyote inayoweza kuwazuia kutoa kiwango bora kesho. Kauli hiyo inaongeza morali kwa mashabiki wa Simba wanaotarajia kuona timu yao ikiendeleza rekodi nzuri ya ushindi katika ligi.

Simba SC Wajipanga Kuendeleza Ubabe Mbele ya JKT Tanzania Ligi Kuu ya NBC Kwa upande wa JKT Tanzania, Kocha Ahmad Ally amesema maandalizi ya timu yake yako katika hatua za mwisho, huku wakitarajia kufanya mazoezi ya mwisho leo kabla ya mchezo huo. Ameeleza kuwa kikosi chake kipo tayari kupambana na kuhakikisha wanapata ushindi muhimu dhidi ya wapinzani wao.

Simba SC Wajipanga Kuendeleza Ubabe Mbele ya JKT Tanzania Ligi Kuu ya NBC Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, huku kila timu ikiwa na malengo tofauti lakini yenye uzito sawa. Simba wakisaka kujiimarisha kileleni, wakati JKT Tanzania wakihitaji matokeo chanya ili kuboresha nafasi yao kwenye msimamo wa ligi.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.