KOCHA wa Muda wa Simba SC, Juma Ramadhani Mgunda ni miongoni mwa walimu wenye Diploma A ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF).

TFF Yafafanua Inshu ya Mgunda

Taarifa ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imesema kwamba, Juma ni miongoni mwa makocha 21 nchini wenye kiwango hicho cha elimu ya ufundishaji mpira na wengine 21 wenye elimu zinazofanana (Equivalent) na CAF A.

TFF Yafafanua Inshu ya Mgunda

Hii inakuja kutokana na kuwepo kwa stori ambazo si sahihi kuhusiana na Mgunda, ila ukweli ni kwamba ana Leseni A ya CAF na hivyo anakizi vigezo vya kukaa benchi kwenye mashindano ya kimataifa ya CAF.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa