Zikiwa zimesalia siku mbili pambano la watani wa jadi Simba na Yanga kupigwa, Sh 7,000 ndicho kiingilio cha chini kwa mashabiki kuona mtanange huo unaosubiriwa kwa hamu.

simba, Simba Vs Yanga, Buku Saba Tu, Meridianbet

Simba ambao ni wenyeji wa mchezo huo utakaopigwa Jumamosi katika uwanja wa Benjamini Mkapa imetangaza viingilio ambapo mzunguko itakuwa Sh 7,000, Viti vya rangi Chungwa Sh 10,000, VIP C Sh 15,000, VIP B Sh 20,000 huku VIP C Sh 30,000.

simba, Simba Vs Yanga, Buku Saba Tu, Meridianbet

Watani hawa wanakutana mchezo wao wa raundi ya pili ambayo ni lala salama ya msimu huu 2020/21 baada ya kutoka sare ya bao 1-1 raundi ya kwanza.


TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO

Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!

simba, Simba Vs Yanga, Buku Saba Tu, Meridianbet

SOMA ZAIDI

 

10 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa