Kwa kutambua mchango wake ndani ya Simba, Mwenyekiti wa Bodi, Mohammed Dewji amemchagua Prof. Philemon Sarungi kuwa mshindi Tuzo ya Heshima (Lifetime Achievement) ambayo itatolewa kwenye hafla ya Tuzo za Mo Simba 2021 ambazo zitafanyika mwishoni mwa msimu.

Tuzo ya heshima

Mzee Sarungi aliwahi kuwa mlezi wa klabu na mmoja wa wapenzi wakubwa wa Simba ambaye wakati yuko Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikuwa anawasaidia sana wachezaji wetu kwenye matibabu na hasa wakati George Masatu alipoumia alipokuwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa.


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

simba, Simba Yatoa Tuzo Ya Heshima, Meridianbet

CHEZA HAPA

4 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa