Nyumbani Soccer legends

Soccer legends

Demiral amuhusudu ronaldo

Demiral: Ronaldo Anapenda Kujifunza Kila Siku

1
Unaambiwa aliyepitia shida achoki kutafuta mafanikio, mchezaji wa Juventus Demiral anasema anashangazwa sana na namna ambavyo Ronaldo anaendelea kutaka mafanikio zaidi licha ya kuwa na vitu vingi sana aliyovipata. Demiral anadai kuwa huwa anawasaa maalum anafundisha kituruki pale Juventus na...
zlatan

Zlatan Apigwa Faini Ya Euro 50,000

2
Mchezaji mkongwe wa Ac Milan, Zlatan Ibrahimovic amejikuta kwenye hatia na kupigwa faini ya Euro 50,000 baada ya kubainika kuwa alikuwa na hisa kwenye kampuni ya kamari. Baada ya uchunguzi uliofanywa na UEFA imebainika kuwa mchezaji huyo wa Serie A...
bocco

Bocco Mchezaji Bora Wa Wiki CAFCL

3
Nahodha na mchezaji mshambuliaji wa Simba SC, John Bocco ameibuka mchezaji bora wa wiki wa ligi ya mabingwa Afrika baada ya kushinda kwa kura nyingi za takribani 82.8%. Nahodha huyu wa Simba ameibuka mshindi kwa asilimia kubwa ya kura baada...
Kane

Kane Amaliza EPL Na Tuzo 2

2
Mshambuliaji wa Tottenham, Harry Kane amemaliza msimu huu wa VPL kwa kuibuka na tuzo mbili katika ligi hiyo. Kane ambaye alifunga goli lingine bora sana jana, amefanikiwa kuchukua kiatu cha dhahabu kwa kuongoza orodha ya wafungaji bora katika EPL msimu...
Didier Drogba

Didier Drogba Ametimiza Ndoyo ya Mbape Japo kwa Kuchelewa

3
Baada ya dakika 90 za damu na jasho Camp Nou, Chelsea ya Didier Drogba walirejea darajani wakihitaji ushindi wa aina yoyote ile ili wafanikiwe kutinga fainali ya UEFA 2009. Bahati mbaya kwao, mechi ya pili muamuzi Tom Hovrebo kutoka Urusi...
Bergkamp nA Lampard katika hall of fame

Bergkamp Na Lampard Waongezwa Hall Of Fame

0
Mchezaji wa zamani wa Chelsea, Frank Lampard na mchezaji wa zamani wa Arsenal Dennis Bergkamp wamekuwa wachezaji wawili wapya waliongezwa kwenye Hall Of Fame ya nguli wa soka la Uingereza. Frank Lampard ameingia katika ukuta maalum wa kuwaenzi wachezaji waliocheza...
Prince Dube

Dube Ana Nafasi Kubwa ya Kufika Rekodi za Tchetche

1
Mshambuliaji Prince Dube, anakuwa mchezaji wa kwanza wa Azam FC kufunga mabao 13 kwenye Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), baada ya staa wa zamani, Kipre Tchetche Tchetche ndiye aliyekuwa mchezaji wa mwisho wa Azam FC kufunga jumla ya mabao 13...
mount

Mount Awa Mchezaji Bora Wa Chelsea 2020/2021

0
Mchezaji wa Chelsea, Mason Mount amechaguliwa mchezaji bora wa timu hiyo kwa mwaka 2020/2021, huku akionesha mchezo mzuri sana kwenye klabu yake na kwenye timu yake ya taifa kote ndani na nje ya michuano ya ulaya. Kijana huyu mdogo mwenye...
ronaldo

Ronaldo Ataja 2 Watakaotawala Soka Baadae

1
Baada ya kutangazwa kuwa balozi wa Livescore ulimwenguni hapo jana, nguli wa soka, Christiano Ronaldo ameibuka na kueleza kuwa kuna ugumu kuchagua wachezaji watakaokuja kuwa bora kama yeye na Messi lakini anawaona mbali sana Haaland na Mbappe. Siku ya jana...

MOST COMMENTED

Hakuna Timu Bora Kama Man U Kwa Sasa – Gary Naville

53
Wakati Manchester United wakiendelea kugawa dozi kwa wapinzani wao kwenye Ligi kuu ya Uingereza mkongwe wao mmoja anasema.... Hakuna timu bora na inayocheza soka safi...

HOT NEWS