Mshambuliaji wa Tottenham, Harry Kane amemaliza msimu huu wa VPL kwa kuibuka na tuzo mbili katika ligi hiyo.
Kane ambaye alifunga goli lingine bora sana jana, amefanikiwa kuchukua kiatu cha dhahabu kwa kuongoza orodha ya wafungaji bora katika EPL msimu huu. Mshambuliaji huyo pia alifanikiwa kuchukua tuzo nyingine ya kuwa mchezaji aliyetoa pasi nyingi za magoli kuliko mchezaji mwingine yoyote EPL.
Tottenham walicheza na Leicester City kama mechi yao ya mwisho ambako ushindi wa 4-2 kwa Tottenham ulisababisha Leicester Kuondolewa kwenye Top 4 na kuondoa kabisa mawazo ya kucheza UEFA Champions League msimu ujao.
Kane alikuwa miongoni mwa wafungaji waliondoa matumaini ya Leicester Kucheza UCL msimu ujao. Mapema mwaka huu Harry alidai atatimka kikosin hapo kwa kuwa anataka kucheza timu inayoshiriki UEFA Champions League msimu ujao.
Bado haijajulikana atatimkia wapi lakini Chelsea, Manchester City na Manchester United zimeonesha nia za kutaka kuchukua saini ya mchezaji huyo ambaye amekuwa haishiwi miujiza kila msimu.
BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.
Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.
Pongezi kwake
Ongera san