Makala nyingine

Lionel Messi atarejea Barcelona majira ya joto mwaka 2023, baada ya kufanya ‘amani’ na rais wa klabu hiyo kufuatia kuhama kwake miaka miwili iliyopita. Mshindi huyo mara saba wa Ballon …

Azam Fc matajiri wa Dar-es-salaam wamekumbana adhabu kutoka kwa maaskari magereza jijini Mbeya baada ya kuchezea kichapo kutoka kwa klabu ya Tanzania Prisons bao moja kwa bila. Azam wanashindwa kupata …

Bernard Morrison mchezaji machachari wa klabu ya Yanga ataukosa mchezo wa Simba unaotarajiwa kupigwa oktoba 23 mwaka huu. Morrison ambae amefungiwa na shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) baada …

Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa klabu ya Simba Barbara Gonzalez, amefanikiwa kupata uteuzi kupitia shirikisho la mpira wa mguu barani Afrika CAF. Barbara amechaguliwa kua makamu wa Rais wa  kamati ya …

Klabu ya soka ya Simba kupitia msemaji wake bwana Ahmed Ally ameeleza kikosi hicho kitasafiri kesho siku ya Ijumaa kuelekea Visiwani Zanzibar. Katika safari hiyo ya kuelekea Visiwani Zanzibar inaelezwa …

Klabu ya Simba imefanikiwa kusonga mbele kwenye michuano ya Afrika baada ya kushinda mchezo wake wa hatua ya awali wa ligi ya mabingwa barani Afrika. Wekunda wa msimbazi wanafanikiwa kwenda …

Juma Mwambusi kocha wa zamani wa klabu ya Mbeya City,Azam, na Yanga amefanikiwa kujiunga na klabu ya Ihefu Fc ya jijini Mbeya. Kocha huyo ametangazwa leo rasmi na mabingwa hao …

MWENYEKITI wa Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam, Lameck Nyambaya amewaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi uwanjani wikiendi hii kwa ajili ya kuzisapoti timu zinazoshiriki michuano ya kimataifa. Timu …

STRAIKA wa Geita Gold, George Mpole ameahidi kupindua matokeo kuelekea kwenye mchezo wao wa marudiano wa kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Hilal Al Sahil ya nchini Sudan. Geita …

STRAIKA wa Ihefu, Jaffar Kibaya amerejea mazoezini rasmi baada ya kupata majeraha wakati kikosi hicho kikijiandaa na mchezo wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar. Kibaya alijiunga na kikosi hicho kwenye …

Romelu Lukaku anahitaji ushirikiano zaidi wa wachezaji wenzie wa Chelsea, kutoka kwa mchezji wa kimataifa wa Ufaransa David Trezeguet. Lukaku ambaye alilejea Chelsea akitokea Inter Milan kwa dau la £97.5 …

1 2 3 4