Mchezaji wa Arsenal na timu ya taifa ya Uingereza, Bukayo Saka amedai kuwa katika wachezaji ambao wanamfanya acheke sana na kumfurahisha basi ni nyota wa zamani wa Borussia Dortmund, Jadon …
Makala nyingine
Unaambiwa aliyepitia shida achoki kutafuta mafanikio, mchezaji wa Juventus Demiral anasema anashangazwa sana na namna ambavyo Ronaldo anaendelea kutaka mafanikio zaidi licha ya kuwa na vitu vingi sana aliyovipata. Demiral …
Mchezaji mkongwe wa Ac Milan, Zlatan Ibrahimovic amejikuta kwenye hatia na kupigwa faini ya Euro 50,000 baada ya kubainika kuwa alikuwa na hisa kwenye kampuni ya kamari. Baada ya uchunguzi …
Nahodha na mchezaji mshambuliaji wa Simba SC, John Bocco ameibuka mchezaji bora wa wiki wa ligi ya mabingwa Afrika baada ya kushinda kwa kura nyingi za takribani 82.8%. Nahodha huyu …
Mshambuliaji wa Tottenham, Harry Kane amemaliza msimu huu wa VPL kwa kuibuka na tuzo mbili katika ligi hiyo. Kane ambaye alifunga goli lingine bora sana jana, amefanikiwa kuchukua kiatu cha …
Baada ya dakika 90 za damu na jasho Camp Nou, Chelsea ya Didier Drogba walirejea darajani wakihitaji ushindi wa aina yoyote ile ili wafanikiwe kutinga fainali ya UEFA 2009. Bahati …
Mchezaji wa zamani wa Chelsea, Frank Lampard na mchezaji wa zamani wa Arsenal Dennis Bergkamp wamekuwa wachezaji wawili wapya waliongezwa kwenye Hall Of Fame ya nguli wa soka la Uingereza. …
Mshambuliaji Prince Dube, anakuwa mchezaji wa kwanza wa Azam FC kufunga mabao 13 kwenye Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), baada ya staa wa zamani, Kipre Tchetche Tchetche ndiye aliyekuwa mchezaji …
Mchezaji wa Chelsea, Mason Mount amechaguliwa mchezaji bora wa timu hiyo kwa mwaka 2020/2021, huku akionesha mchezo mzuri sana kwenye klabu yake na kwenye timu yake ya taifa kote ndani …
Baada ya kutangazwa kuwa balozi wa Livescore ulimwenguni hapo jana, nguli wa soka, Christiano Ronaldo ameibuka na kueleza kuwa kuna ugumu kuchagua wachezaji watakaokuja kuwa bora kama yeye na Messi …