NyumbaniSOKA LA BONGO

SOKA LA BONGO

HABARI ZAIDI

YANGA YAWAFUATA MEDEAMA KIBABE

0
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi, leo Desemba 5 alfajiri kimeanza safari kuelekea Ghana kwa ajili ya kupambania kupata pointi tatu...

SIMBA, YANGA ZITAPATA FURAHA KIMATAIFA

0
HUZUNI kwa mashabiki wa vilabu vya Simba na Yanga kushindwa kupata kicheko kwenye mechi za kimataifa inapaswa kuondolewa na wachezaji uwanjani. Hali haijawa nzuri kwenye...

LOMALISA KUIKOSA MEDEAMA

0
Kutokana na Jeraha alilolipata Mlinzi wa kushoto wa klabu ya Yanga kwenye mchezo wao dhidi ya Al Ahly Joyce Lomalisa ameshindwa kusafiri na timu...

Dodoma Jiji Yaachana na Melis Medo

0
Klabu ya Dodoma Jiji na Kocha wake Melis Medo wamefikia makubaliano ya kuvunja mkataba ili kumpa muda wa kutosha Mmarekani huyo kushughulikia changamoto za...

Mashujaa Mwenyeji wa Tabora United Leo

0
Ligi kuu ya NBC inatarajiwa kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja ambao utakuwa ni kati ya mwenyeji Mashujaa dhidi ya Tabora United majira ya...

Ihefu Kukipiga Dhidi ya Tanzania Prisons

0
Ligi kuu ya NBC inatarajia kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja majira ya saa 10:00 jioni ambapo Ihefu watakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Tanzania...

ENG HERSI AUNGANA NA WENYE UHITAJI

0
Leo asubuhi Rais wa Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika Eng.Hersi Ally Said alishiriki kwenye matembezi ya hisani ya Siku...

YANGA MORALI IPO JUU KUWAVAA AHLY

0
Kamati ya Mashindano ya Klabu ya Yanga imeweka mpango mkakati wa kuipeleka klabu hiyo Hatua ya Robo Fainali, Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, kwa...

YANGA WAWAPIGIA HESABU KALI AL-AHLY

0
Uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa hesabu kubwa ni kupata ushindi kwenye mchezo wao ujao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AlAhly, Waarabu...

TWIGA STARS WANUKIA WAFCON

0
Timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars Jana iliiuwa kazini kuapambania nembo ya taifa na kupata ushindi katika viunga vya Azam Complex kwenye mechi...