AHMED ALLY: JWANENG GALAXY TUTAWAFANYA KITU MBAYA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa Jwaneng Galxy wapinzani wao wanawaheshimu lakini wamekuja katika hatua mbaya.

Hayo yamesemwa na Ofisa Habari wa Yanga Ahmed Ally, alipozungumza na Meridian Sports jana jioni.AHMED ALLY“Wataacha alama tatu na Mnyama anakwenda hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika.

“Wamekuja wakati mbaya mno ambao hakuna Mwanasimba yeyote anayetaka kusikia habari zingine zaidi ya chama lao kwenda robo fainali.AHMED ALLY“Tunawaheshimu Kwa kile ambacho walitufanyia miaka mitatu nyuma, lakini huu siyo wakati wa vilio tena,” alisema Ahmed Ally.

Acha ujumbe