Aliyeondoka Simba SC Ataja Jina la Moses Phiri

moses phiri

Kipa aliyepewa mkono wa kwaheri pale mitaa ya Simba SC, Beno Kakolanya amesema kuna faida kubwa kwa klabu hiyo, kuwa na straika Moses Phiri raia wa Zambia kutokana na ubora wake. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

 

Kakolanya amesema endapo Moses Phiri asingepata majeraha anaamini angekuwa mfungaji bora wa msimu uliopita (2022/23), ambao Fiston Mayele na Said Ntibazonkiza ‘Saido’ walimaliza na mabao 17 kila mmoja.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

“Moses Phiri ni straika hatari, wakati tumeweka kambi Misri, nilimsoma mazoezini, kwanza maamuzi yake ya haraka unapompigia mahesabu ya kumzuia kwa namna hii tayari anakuwa ameshafanya maamuzi ya kuupiga mpira kwa jinsi ambayo hujatarajia, hivyo anapaswa kuchungwa muda wote.

Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti hapa ni mahali pake.

“Ana uwezo mkubwa wa kusoma mabeki na kipa, kuna wakati anaweza akawa na mpira ukampuuza, lakini atakachofanya unabakia kushangaa, jamaa (Moses Phiri) asingeumia nina asilimia 100 angechukua kiatu cha ufungaji, anachokifanya mazoezini anakiingiza uwanjani anafanya zaidi na anatoa uhakika wa kupata mabao.”

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Acha ujumbe