Amazulu Ilimnyatia Pablo Kabla ya Kutimuliwa na Msimbazi

Amazulu ni moja ya majina yanayotajwa na kuhusika kuisaka saini ya kocha muhispania Pablo Franko Martinez na taarifa kutoka nchini Afrika Kusini zinaeleza kuwa aliyekuwa kocha mkuu wa wekundu wa Msimbazi Simba SC Pablo Martin yupo mbioni kujiunga na timu ya Amazulu inayoshiriki ligi kuu nchini humo
Amazulu
Pablo

Kwamujibu wa mkataba awali uliovuja mitandao ambao bado haujathibitishwa umeonesha kuwa kocha huyo alikuwa ameahidiwa mshahara mnono unaofika milioni 77 za Tanzania kwa mwezi pamoja na mahitaji mengine muhimu na alitakiwa kuwa hadi leo mei 30 awe amethibitisha au kukataa ofa hiyo.

Baada ya kutoka taarifa za Simba SC kuachana na kocha huyo kutoka Hispania kumezidisha uvumi wa taarifa hii kuwa huenda alichagua kukubali ajira mpya nchini Afrika Kusini.

Amazulu
Amazulu

Amazulu imesisitiza kumlipa Mshahara wa Randi 525,000 (sawa na zaidi ya Shilingi Milioni 77 za Tanzania), Nyumba kwa ajili ya makazi, Gari ya kutembelea pamoja na Kadi ya kujaza mafuta kila mwezi, Tiketi mbili za Ndege Daraja la Kwanza kwa kila msimu (Kwenda na Kurudi nyumbani kwao Hispania).


SHINDA SAMSUNG A32 NA AVIATOR

SHINDA Samsung A32 ukiwa na mchezo wa Aviator kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! Kwea pipa ukusanye zawadi zako pamoja na ushindi mnono wa mkwanja!

kasa wa njano, Kasa wa Njano Awapa Ubingwa wa CL Liverpool., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.