Ateba Apewa Ujumbe Mzito Simba

MSHAMBULIAJI mpya wa Klabu ya Simba Leonel Ateba anapaswa kufanya ya Ziada ndani ya timu hiyo Ili kuwa na uhakika wa kuanza kwenye kikosi Cha kwanza. Jisajili hapa kuwa wa kwanza kushinda Mamilioni ya Meridianbet kila siku.

Mara baada ya Kocha wa Simba Fadlu Davis kusema kuwa hakuna mchezaji mwenye uhakika wa kuanza kwenye timu yake na atakuwa anawapa kipaumbele wale wenye kujituma.

Akizungumza kuhusu mwanzo mzuri wa Ateba ndani ya Simba Baada ya kufunga juzi dhidi ya Al HILAL, Fadlu bado hajataka kusema kuwa nyota huyo ndiyo atakuwa chaguo la kwanza kwenye eneo la ushambuliaji.

Beti na Meridianbet kwa ushindi mkubwa na odds kubwa, Ligi  zinakaribia kuanza,  usije kupishana na gari la Mshahara.

“Hakuna Mchezaji mwenye uhakika wa kuanza kwenye kikosi Cha kwanza hadi Sasa. Hongera Kwa Ateba alitimiza jukumu lake juzi, lakini anatakiwa afanye kazi Kweli kama anataka kucheza,” alisema.

Michezo ya Kasino na Sloti ni machimbo yanayotoa pesa kirahisi. Cheza kasino hapa.

Acha ujumbe