WINGA hatari kutoka Asec Mimosas aliyesajiliwa na Simba Aubin Kramo inaelezwa kwamba ameshapona majeraha yake, sasa yuko tayari kutoa burudani ndani ya uwanja. Jisajili hapa kuwa wa kwanza kushinda Mamilioni ya Meridianbet kila siku.
Habari za uhakika zinasema kwamba Kramo ameshakuwa fiti na sasa anajinoa na klabu yake ya zamani wa ASEC tayari kwa msimu mpya na Simba baada ya kushindwa kufanya hivyo kutokana na majeruhi ya muda mrefu.
Staa huyo alikuwa anapewa nafasi kubwa ya kutemwa na Simba lakini habari za ndani ni kwamba wamejiridhisha kwa vipimo vya kitabibu kwamba msimu ujao anaweza kukiwasha Msimbazi na akarejea kwenye rekodi zake. Beti na Meridianbet kwa ushindi mkubwa na odds kubwa.
Kwa msimu uliomalizika kwa Yanga kuwa mabingwa, Kramo hakucheza hata mechi ya Ligi Kuu, huku akionekana kwenye mchezo wa Simba Day na mechi za mazoezini.
Tangu asajiliwe Simba alikumbwa na majeraha ya mara kwa mara, hali iliyomfanya akae nje kwa msimu mzima.
Kwakuwa Simba walikuwa wanaimani na kipaji cha Mchezaji huyo, waliamua kuliondoa jina lake kwenye orodha ya wachezaji wa ndani ili kusajili mchezaji mwingine kama mbadala lakini, waliendelea kumlipa mshahara Kramo.
Baada ya Ligi kuisha Kramo alisikika akisema kwamba msimu ujao bado ataendelea kuwa Msimbazi.
“Kwa sasa msimu umemalizika, lakini nadhani kwa msimu ujao Mungu akipenda nitarudi uwanjani, bado ni mchezaji wa Simba”
Moja kati ya sajili zilizopewa nafasi na matarajio makubwa ni usajili wa nyota Aubin Kramo, aliyekiwasha sana Asec Mimosas na mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini majeraha yalimuweka nje kwa msimu mzima.
Kasino ya Mtandaoni usipange kuacha kucheza, Meridianbet wamekuandalia Maokoto na bonasi za kasino kibao.
This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.
Strictly Necessary Cookies
Strictly Necessary Cookie should be enabled at all times so that we can save your preferences for cookie settings.
If you disable this cookie, we will not be able to save your preferences. This means that every time you visit this website you will need to enable or disable cookies again.