Klabu ya Azam FC imeondolewa kwenye Kombe la Shirikisho CAF dhidi ya Bahir Dar Kenema kwa mikwaju ya penati baada ya dakika 90 kukamilika na aggregate kuwa 3-3.

 

Azam FC Yaondolewa Kombe la Shirikisho CAF

Mchezo huo ulipigwa majira ya saa 1:00 katika dimba la Chamazi Complex huku mgeni tayari alikuwa na faida baada ya mechi ya kwanza kuwa alishinda kwa mabao 2-1 akiwa nyumbani.


Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Lakini vijana hao wa Dabo hawakutaka kukaa nyuma na walianza vizuri kwa kuongoza kwa mabao 2 katika dakika ya 01 kufunga bao la kwanza Nado na la pili kufungwa dakika ya 10 na Prince Dube na baadae dakika ya 17 Bahir kupata bao.

Azam FC Yaondolewa Kombe la Shirikisho CAF

Azam walikuwa wana nafasi kubwa ya kupata matokeo nadani 90 za mchezo lkaini walikosa ufanisi mbele ya goli na kufanya kuondolewa kwenye mikwaju ya penati kwani haina wenyewe licha ya golikipa wao kuokoa lakini wapi wachezaji walikosa penati.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Azam FC Yaondolewa Kombe la Shirikisho CAF

Kocha wa Azam Dabo alifanya mabadiliko ya wachezaji kadhaa kama vile kuingia kwa Bangala ikiwa ni mechi yake ya kwanza, Kipre Junior na wengine kibao lakini bado safari yao iliishia hapo.

 


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa