Mechi nyingine ya Ligi kuu inatarajiwa kupigwa kesho majira saa 1:00 usiku Azam watakuwa ugenini dhidi ya Kagera Sugar katika uwanja wa Kaitaba.

 

Azam Kuwafuata Kagera Sugar

Azam wapo nafasi ya pili ya msimamo baada ya kucheza mechi zao 15, wakiwa wamejishindia mechi zao 11, sare mbili, na kupoteza mbili pekee huku wakiwa wamekusanya pointi zao 35.

Wakati kwa upande wa Kagera Sugar ya Mecky Mexime wao wapo nafasi ya 7 ushindi wara sita, sare ttau na kupoteza mara sita pointi zao 21 hadi sasa.

Azam Kuwafuata Kagera Sugar

Timu hiyo ya Kally Ongala wameshinda mechi zao 8 mfululizo. Je Kagera kuharibu mpango wa Wanalamba lamba wa kutopoteza mechi hadi sasa chini ya kocha mpya.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa