NYOTA wa kikosi cha Yanga, Stephane Aziz Ki ameondoka kwenye kikosi cha Yanga na kwenda kujiunga na timu yake ya taifa ya Burkina Faso. Tazama odds bomba na kubwa hapa.

 

Aziz Ki

Aziz Ki amepewa ruhusa hiyo na benchi la ufundi la Yanga likiongozwa na Kocha Mkuu, Nassredine Nabi kutokana na kutumikia adhabu yake. Beti na meridianbet wana odds bomba.
Ikumbukwe hivi karibuni Aziz Ki alifungiwa mechi tatu na kutakiwa kulipa faini na kamati ya uendeshaji na usimamizi wa ligi kutokana kwa kosa la kushindwa kusalimiana. Odds kubwa za meridianbet.
Akizungumzia maandalizi yao, Kocha Msaidizi wa Yanga, Cedric Kaze alisema kuwa “Hatujapata muda wa kujiandaa tangu tulipocheza mechi jumatano nchini Tunisia.

“Tutamkosa Aziz Ki ambaye hatujarudi nae, tulimpa likizo ya kwenda kwao kujiunga na timu ya taifa na hii ni kutokana na adhabu aliyonayo hivyo tuna imani akiwa huko atakuwa fiti sana.”

 

azizi


Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

aviator

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa