Baba Rabiat Aweka Ahadi Simba Kuifunga Ahly| Mamelodi Watua Kibabe

Shabiki kindakindaki wa Yanga anayefahamika kama Baba Rabiat na wakati mwingine hutumia jina la Shetani wa Yanga, ameteka hisia za mashabiki wengi wa simba sc na yanga sc kwa namna yake ya uongeaji. Jisajili na Meridianbet upate bonasi za kasino kibao na odds kubwa za ubashiri kwa machaguo kibao.

 

simba

Amekuwa akitumia sana neno “Naweka Ahadi” yote kwa yote ni kuchaguza utani wa jadi kati ya mapacha hao wa Kariakoo kulwa na ndoto mmoja akitoka jangwani na mwingine anajiita mtoto wa mjini kutoka mitaa ya Msimbazi pale.

Kuelekea mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika caflcl kati ya simba vs alahly utakaopigwa kesho tayari mwamba amekwisha toa ahadi ya kwamba endapo simba sc atamfunga Al Ahly basi mashabiki wa Simba wachukue pasi ya umeme kisha wamvue nguo na kumchoma na tena akasema “Serikali ya Jamhuri ya Muungani wa Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan isiingile kati huu ni utani usiokera bali unafurahisha.

Tazama video hii uone jinsi ambavyo mashabiki mbalimbali wa Simba walivyomfanyia baada ya kutoa ahadi hiyo. Odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni njia rahisi ya kukupa mtonyo mrefu. Ingia mchezoni hapa.

Meridianbet ni sehemu sahihi ya kuweka pesa zako na ukazitumia kubashiri michezo kama hii au kucheza #kasinoyamtandaoni na #sloti tembelea https://www.meridianbet.co.tz kuweka bashiri zako na kuvuna ushindi kama mvua.🌧️🌧️🌧️🌧️

Acha ujumbe