Baleke Achana Mkeka wa Yanga, Ajitambulisha Mwenyewe.

Mshambuliaji wa zamani wa Simba SC, Jean Othos Baleke ambaye alikuwa kwa mkopo kunako klabu ya Al Ittihad ya Libya amethibitisha kujiunga na Young Africans Sc kama mchezaji mpya klabuni hapo kwa msimu ujao wa 2024/25. Jisajili hapa kuwa wa kwanza kushinda Mamilioni ya Meridianbet kila siku.

Kupitia Insta Story yake Baleke ameposti picha akiwa ndani ya uzi wa Yanga Sc ikiwa ni Taarifa ya moja ya chombo cha habari kilichothibitisha ujio wake Jangwani.

Beti na Meridianbet kwa ushindi mkubwa na odds kubwa, Ligi  zinakaribia kuanza,  usije kupishana na gari la Mshahara.

Nyota huyo anatarajiwa kutangazwa hivi karibuni na klabu hiyo baada ya kusitisha mkataba wake wa mkopo na miamba hiyo ya Libya na kujiunga na Wananchi.

Mshambuliaji huyo wa ambaye amewahi kuitumikia Simba Sc, amejiunga na kambi ya mazoezi ya Wananchi licha ya kimya kingi juu ya utambulisho wake kama mchezaji mpya klabuni hapo.

Baleke ameripotiwa kujiunga na Mabingwa hao wa nchi kwa mkopo wa msimu mzima na anatarajiwa kutangazwa muda mfupi ujao kama mchezaji mpya klabuni hapo.

Klabu ya Yanga imesajili wachezaji kibao wenye majina mkubwa na uwezo uwanjani,  kuna Clatous Chama, Prince Dube, Chadrack Boka, Aziz Andabwile, na sasa Duke Abuya.

Wachezaji wanaohusishwa zaidi kujiunga na Simba, ni Jean BALEKE aliyewahi kucheza Simba kwa msimu mmoja na nusu akifunga jumla  ya mabao 16, kisha akatimkia kwenda klabu ya Al Ittihad ya Libya.

Michezo ya Kasino na Sloti ni machimbo yanayotoa pesa kirahisi. Cheza kasino hapa.

Acha ujumbe