MARA baada ya kukamilisjha usajili wa staa, Yanick Bangala kutoka Yanga, uongozi wa kikosi cha Azam FC umechimba mkwara mzito kuwa msimu ujao hesabu yao kubwa ni ubingwa. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.
Azam juzi Jumamosi walitoa taarifa rasmi ya kumalizana na Yanga na kukamilisha usajili wa Bangala ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili ndani ya kikosi cha Azam.
Bangala anakuwa staa wa pili kutoka Yanga kujiunga na Azam kuelekea msimu ujao wa 2023/24, hii ni mara baada ya mapema kabisa kumalizana na Yanga kwa kumsajili kiungo wa kimataifa wa Tanzania, Feisal Salum ‘Fei Toto’.
Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Ofisa Habari wa Azam, Hasheem Ibwe alisema: “Usajili mkubwa ambao umefanyika kupitia dirisha hili kubwa la usajili ni wazi unathibitisha kuwa kikosi chetu kina malengo makubwa msimu ujao.
Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.
“Kwa misimu kadhaa tumekuwa washindania ubingwa na kuishia kumaliza kwenye nafasi ya tatu, lakini msimu ujao tumejipanga kuhakikisha ubingwa unakuja Chamazi baada ya miaka mingi kupita. Kutokana na ubora wa kikosi tulichonacho tunaamini hili linawezekana.”
Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.