Mkurugenzi Mtendaji wa Klabu ya Simba SC Barbara Gonzalez pamoja na viongozi wengine wa klabu hiyo mapema hii leo walitembelea mazoezi ya timu ya wanawake “Simba Queens” ambao wanajiandaa na Mchezo wa Fainali ya Ligi ya Mabingwa kwa wanawake Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA).

BARBARA, Barbara Awapa Ujumbe Mzito Simba Queens Kuelekea Fainali ya CECAFA, Meridianbet

Simba Queens walishanda mchezo wao wa nusu fainali kwa magoli 5 kwa 1 dhidi ya AS Kigali tarehe 24, Agosti, 2022, mchezo huo ulipigwa katika dimba la Azam Complex- Chamazi jijini Dar Es Salaam na hivyo kuwafanya kufuzu kucheza fainali ya CECAFA.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Simba Queens (@simbaqueensctz)

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa