Kiungo wa klabu ya Yanga Gael Bigirimana amesema anahitaji nafasi zaidi ya kuitumikia klabu hiyo kila atakapopata nafasi, Kiungo amekua hapati nafasi mara kwa mara kwenye kikosi cha kocha Nabi tangu atue klabuni hapo.

Kiungo huyo wa kimataifa wa Burundi anahitaji muda mrefu zaidi kiwanjani akiichezea klabu hiyo ya wananchi, huku mashabiki wa klabu hiyo wakiwa bado pia na shauku ya kumuona kiungo huyo akicheza zaidi kutokana na historia yake ana vilabu alivyowahi kupita.bigirimanaBigirimana amabae amewahi kuitumikia klabu ya Newcastle ya ligi kuu ya Uingereza amedai sababu ambayo ilimfanya ashindwe kufanya vizuri ni mazingira, Lakini kwasasa amezoea mazingira ya hapa nchini na ameahidi kuonesha ubora kila atakapopata nafasi ya kucheza.

Hii imekua kwa kawaida kwa wachezaji wanaotoka nje ya nchi kuzoea na kuendana na mazingira ya Tanzania imekua ikiwasumbua sana huku Bigirimana akiwa ni miongoni waliosumbuliwa na mazingira ya hapa nchini.

AVIATOR

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa