BOSI wa Azam FC, Yusuf Bakhresa amesema kuwa bado usajili wa beki hiyo ni baada ya kumtambulisha kipa raia wa Comoro, Ally Ahamada. 
Azam wamemtambulisha kipa huyo jana jumatano kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Comoro.
Akizungumza wakati wa utambulisho wa kipa huyo bosi huyo amesema kuwa “Tumefurahi sana kumtambulisha mchezaji wetu na mashabiki wangu nadhani wamefurahi sana.
“Nimetimiza ndoto ya mashabiki, nimewaletea kipa sasa kazi imekwisha hivyo kwa sasa kilichobaki ni beki.”

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa