BOSI LIGI KUU ATOA TAMKO

Bosi na Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Almas Kasongo amesema kwenye nyakati hizi za Ligi kwenda ukingoni watakuwa makini kufuatilia matukio yote ya Michezo.

Kasongo amesema wanataka kuongeza umakini zaidi kwenye Michezo hiyo Ili kuboresha ufanisi wa timu husika kwenye kufuata kanuni na taratibu za Soka.

“Tunakwenda kuongeza umakini zaidi kwenye kipindi hiki, tunafahamu malalamiko mengi utokea kwenye nyakati kama hizi Ligi zikiwa zinaenda mwishoni.

“Kuanzia Ligi Kuu, Championship na madaraja mengine yote tunaenda kuwa Makini zaidi,” alisema.

Acha ujumbe