Kocha wa timu ya taifa Tanzania Taifa Stars, Adel Mrouche amepewa nafasi ya kuchagua wataalamu 4 atakao ambatana nao kwenye timu ya taifa kama sehemu ya benchi lake la ufundi, Kocha huyo amependekeza jina la kocha msaidizi wa klabu ya Yanga, Cedric Kaze kuwa chaguo lake la kwanza. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

 

Cedrick kaze
Cedrick kaze

Cedric Kaze wakati akichukua mafunzo yake ya ukocha alifundishwa na kocha Adel Mrouche. Mrouche ni mkufunzi wa shirikisho la soka Ulaya UEFA kwenye kozi ya UEFA pro license.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Kwa mujibu wa mwandishi wa Habari Maulid Kitenge amesema tayari klabu ya Yanga imeshapokea ombi hilo kutoka TFF, kinachosubiriwa kwa sasa ni maamuzi ya muhusika. Klabu imempa baraka zote Cedric Kaze iwapo ataamua kujiunga na timu ya Taifa.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa