CAF Kufanya Mabadiliko Mchezo wa Yanga vs CBE ya Ethiopia

Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kuelekea mchezo wa mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya CBE ya Ethiopia, huenda likafanya mabadiliko ya uwanja utakaotumika kwenye  mchezo  wa marudiano. Jisajili hapa kuwa wa kwanza kushinda Mamilioni ya Meridianbet kila siku.

Yanga ni moja kati ya timu mbili za Tanzania zilizosalia katika michuano ya CAF ikitinga raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuing’oa Vital’O ya Burundi kwa ushindi wa jumla wa mabao 10-0 na sasa imepangwa kucheza na CBE ili kusaka tiketi ya kutinga makundi.

Timu nyingine ni Simba iliyoanzia hatua hiyo katika Kombe la Shirikisho Afrika ikipangwa kucheza na Al Ahli Tripoli ya Libya.

Michezo ya Kasino na Sloti ni machimbo yanayotoa pesa kirahisi. Cheza kasino hapa.

Mabadiliko ambayo huenda yakafanyika ni uwanja utakaotumika kwenye mchezo wa mkondo wa pili dhidi ya CBE ya Ethiopia.

Inaelezwa kwamba Klabu y Yanga walipanga kuupeleka mchezo huo Zanzibar katika uwanja wa New Amaan Complex, lakini kwa mujibu wa CAF uwanja huo haupo kwenye orodha ya viwanja vinavyotakiwa kutumika kwenye mechi za mkondo wa pili.

Lakini kwa taarifa zilizopo ni kwamba, Uongozi wa Yanga bado unapambana kufanikisha ombi lao la kutumia uwanja wa New Amaan Complex, ili kuwapelekea furaha mashabiki zao wa Zanzibar.

Beti na Meridianbet kwa ushindi mkubwa na odds kubwa, Ligi  zinakaribia kuanza,  usije kupishana na gari la Mshahara.

Acha ujumbe