CAF ( Shirikisho la Soka Barani Afrika) Limetangaza droo ya makundi barani Afrika kwa timu ambazo zimefuzu michuano hiyo ngazi ya Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho kwa timu mbalimbali.

 

CAF Yatangaza Siku Ya Droo ya Makundi

CAF imesema kuwa droo hiyo itafanyika siku ya Jumatano tarehe 16 majira ya saa saba mchana huku kwa upande wa Tanzania timu zilibakia kwenye michuano hiyo ni mbili ambazo ni Simba na Yanga.

Simba wao wapo kwenye Klabu Bingwa baada ya kumtoa Primeiro De Agost ya Angola katika hatua ya mtoanao na kuingia hatua ya makundi baada ya kushinda michezo yote nyumbani na ugenini.

CAF Yatangaza Siku Ya Droo ya Makundi

Wakati kwa upande wa Yanga yeye yupo Kombe la Shirikisho na ameingia hatua ya makundi baada ya kumtoa Club Africain ya Tunisia kwa kumtungua bao 1-0 nyumbani kwake baada ya mechi ya kwanza wakiwa Benjamin Mkapa kutoa sare ya 0-0.


beti na kitochi

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa