CHASAMBI KUTAMBULISHWA ZANZIBAR

INAELEZWA kuwa Simba ipo kwenye mpango wa kumtangaza Ladack CHASAMBI kwenye Mashindano ya Mapinduzi Zanzibar.

Simba wapo kwenye mpango mkubwa wa kufanyia maboresho kikosi hicho ambapo inakwenda kuongeza viungo na washambuliaji Ili kuwa na timu yenye ushindani zaidi.

CHASAMBI ni Miongoni mwa nyota wapya ambaye anatajwa kupewa dili la miaka mitatu na anatoka viunga vya Mtibwa Sugar Chasambi. Ikiwa dili lake litakamilika atakuwa mchezaji wa kwanza kutambulishwa unyamani.

Acha ujumbe