Deal Done: Steven Mukwala Ni Mnyama, Okwi Ahusika.

STAA wa zamani wa Simba na Yanga, Emmanuel Okwi amehusika kwa kiasi kikubwa kumshawishi, Straika Mganda Steven Mukwala (24) asaini Msimbazi. Jisajili hapa kuwa wa kwanza kushinda Mamilioni ya Meridianbet kila siku.

Steven Mukwala huenda akatambulishwa muda wowote kuanzia sasa kwani tayari yupo Jijini ametulia kwenye hoteli moja iliyoko kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi.

Steven Mukwala msimu amefunga mabao 12 kwenye Ligi ya Ghana, na kwa mujibu wa Transfermarket dau lake la usajili linafika dola 175,000/= sawa na Tsh Milioni 456.

Kasino ya Mtandaoni usipange kuacha kucheza, Meridianbet wameakuandalia Maokoto na bonasi za kasino kibao.

Timu alizowahi kuchezea hadi sasa ni, Vipers SC, Maroons FC, URA FC zote za Uganda, na Asante Kotoko.

Simba inaendelela kufanya mambo yake chini ya kapeti, huku ukitupia macho zaidi kwenye ukanda wa Afrika Magharibi na nchini DR Congo, ili kujaribu kuona namna gani wanaweza kupata wachezaji wazuri.

Mpaka sasa mchezaji aliyesainiwa kutoka DR Congo ni Elie Mpanzu winga, anayetumia mguu wa kushoto na ana sifa ya  kupiga mashuti nje ya 18.

Muda wowote kuanzia sasa, anasubiri tu kukamilisha masuala ya mahitaji yakee,  ikiwemo sehemu ya kuishi hapa Tanzania.

Acha ujumbe