Mlinzi wa kulia wa Zamani wa vilabu vya As Vita na Yanga Djuma Shaban ataitumikia klabu ya Coastal Union msimu ujao na hii ni baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja.
Hatua hiyo inakuja baada ya Coastal Union kufikia makubaliano ya maslahi binafsi na DJUMA ambaye walikuwa wakimhitaji tangu Msimu uliopita.