Dodoma Jiji Kibaruani vs Pamba Jiji

Ligi kuu ya NBC inatarajiwa kuendelea leo hii kwa michezo minne ambapo mchezo wa mapema kabisa ni huu wa Dodoma Jiji vs Pamba Jiji ambapo utapigwa katika dimba la Jamhuri kule Dodoma.

Dodoma Jiji Kibaruani vs Pamba Jiji

Mwenyeji yupo nafasi ya 9 kwenye michezo 16 ambayo amecheza mpaka sasa akishinda mechi zake 5 akitoa sare 4 na kupoteza mechi 7 hadi sasa, huku kwa upande wa Pamba yeye ana hali mbaya sana kwani mpaka sasa yupo nafasi ya 14 yaani ya tatu kutoka mwisho, akishinda mechi 2, sare 6 na kupoteza mara 8.

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Mara ya mwisho kukutana timu hizi, hakuna mbaye alikuwa mbabe,hivyo leo hii kila timu inahitaji pointi 3 ijiweke kwenye nafasi  nzuri kwenye msimamo wa ligi kabla mambo hayajawa mabaya.

Dodoma Jiji Kibaruani vs Pamba Jiji

Wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wao wanampa nafasi kubwa ya kushinda Dodoma Jiji kwa ODDS 1.67 kwa 5.40. Je beti yako wewe unaiweka wapi hapa leo?. Ingia na usuke jamvi lako sasa.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.