Dodoma Jiji Kukiwasha na Namungo Leo

Ligi kuu ya NBC inatarajiwa kuendelea hii leo kwa michezo ambayo itapigwa majira ya saa 10:00 jioni ambapo Dodoma Jiji watawaalika nyumbani kwao Namungo Fc.

Dodoma Jiji Kukiwasha na Namungo Leo

Dodoma Jiji kwenye mechi mbili alizocheza, ametoa sare mechi moja na kupoteza mchezo mmoja akifanikiwa kupata pointi moja pekee, wakati kwa upande wa Namungo yeye mechi zote mbili za kwanza amepoteza.

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Mechi ya kwanza, mwenyeji alikipiga dhidi ya Mashujaa ugenini na akachezea kichapo cha bao 1-0, huku mechi ya pili akasafiri hadi Mwanza kukiwasha dhidi ya Pamba Jiji na kulazimishwa sare ya bili kufungana.

Dodoma Jiji Kukiwasha na Namungo Leo

Wakati kwa upande wa Namungo yeye alifungua pazia la ligi kuu na Tabora United nyumbani kwake pale Majaliwa ambapo alipoteza kwa mabao 2-1, huku mechi inayofuata akacheza hapo hapo nyumbani dhidi ya Fountain Gate na kupoteza kwa mabao 2-0.

Hivyo ni mechi ambayo zinakutana timu mbili zote zikihitaji ushindi leo hii. Je nani kupata ushindi wa kwanza kati ya timu hizi mbili?

Meridianbet wananmpa nafasi kubwa ya kushinda Dodoma Jiji kwa ODDS 2.07 kwa 3.38. Je beti yako wewe unampa nani hapa kati ya hizi timu mbili?. Suka jamvi lako hapa.

Acha ujumbe