Dodoma Jiji Yaachana na Melis Medo

Klabu ya Dodoma Jiji na Kocha wake Melis Medo wamefikia makubaliano ya kuvunja mkataba ili kumpa muda wa kutosha Mmarekani huyo kushughulikia changamoto za kifamilia zinazomkabili.

 

Dodoma Jiji Yaachana na Melis Medo

Medo ameondoka klabuni hapo wakati Dodoma Jiji ikiwa imeshinda mechi nne, sare tatu na kupoteza mechi tano msimu huu kwenye NBC Premier League.

Pia timu hiyo ipo nafasi ya 7 kwenye msimamo wa ligi wakiwa na pointi zao 15 baada ya kupoteza mechi ttau mfululizo kwenye ligi.

Timu hiyo kutoka Kanda ya kati ipo nyuma ya pointi 7 mbele ya kinara wa ligi huku ikiwa imetangulia michezo mitatu mbele. Ndugu mteja kumbuka kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni ndani ya meridianbet kama vile Aviator, Poker, Roullette na mingine kibao.

Dodoma Jiji Yaachana na Melis Medo

Mechi inayofuata ya Walima Zabibu hao ni dhidi ya Ihefu ambapo watakuwa nyumbani kusaka pointi tatu.

Acha ujumbe